- Assalam alaykum warahmatullah wabarakaatuh inshaALLAH leo katika mlango wa kukumbushana tutakuwa tukizungumzia kadhia ya masturbation au 'punyeto'kwanza kabisa tufahamu maana ya masturbation;ni mtu kutumia mikono yake au kifaa chochote kile na kutumia tupu yake kwa lengo la lakujistarehesha kitendo hichi kwa hakika ni haramu kwa ushahidi wa aya ambayo inapatikana katika sura almuuminuun aya ya5-6[na wale wanaohifadhi tupu zao isipokuwa kwa wake zao au kwa wale iliyomilikimikono yao ya kuume[mateka ;watumwa]kwao haitakuwa lawama[yaani hawatolaumiwa kukidhi haja zao zakimatamaniokwao wao]kwahiyo namna yeyote ile ya kukidhi matamanio isiyokuwa yamke au wale waliyomilikiwa kama tulivyotaja ni HARAMU katika hili inaingia masturbation vilevile ukirejea tafsiir ibn kathiir amenukuu kauli ya imamu shafi kuwa yeye imam shafi ametumia aya hiyo katika kueleza uharamu wa masturbation pia rejea fatawa ya shaykh fawzaan mujeledi wa4 uk 272 fatwa namba 277pia rejea fataawa ya shaykh albani fatwa namba 56.
Tuesday, December 13, 2011
UHARAMU WA KUJITOA MANII KWA MKONO[masturbation]
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
waislam tuwe na subira au tuoe kama uvumilivu unashindikana na sio kumastabeti
ReplyDeleteMwenyezi Mungu ameipa wepesi ndoa kwetu ili tupate kujiepusha na haya lakini cha ajabu ulimwengu wa leo ndoa ni kitu kimefanywa kigumu balaa na hii ni mojawapo ya sababu za kukithiri kwa machafu ya zinaa baina ya walimwenguni. Ewe Mwenyezi Mungu tuongoe waja wako na machafu haya na utuongoze katika haki.
ReplyDelete