Thursday, January 5, 2012

MWENENDO WA KESI YA KUCHOMWA QUR'AN MWANZA.

Baada ya kesi kukhairishwa
zaidi ya mara tano ilianzwa
kusikilizwa na mashahidi 3
walitoa ushahidi upande wa
waislamu na kubaki watano ,
ila walipofika shahidi wa tatu na kutoa ushahidi sahihi
mawakili upande wa
washtakiwa waliomba
mahakama kukitoa kielelezo
cha mabaki ya QURAN pamoja
na mashahidi wengine wasiwepo kwenye kesi,hivyo
hakimu alikhairisha kesi tena
mpaka tarehe 29/12/2012,
siku ilipofika kesi tena
ikakhairishwa kutokana na
mawakili kuwa rikizo mpka tar 05/1/2012(leo)na baada ya
kufika mahakani mwakili
upande wa waislamu
walipinga kuondolewa
kielelezo no moja na pia
kupumguzwa mashahidi,lakini upande wa washitakiwa
walishikiria msimamo wao na
hivyo hakimu akakhairisha
kesi mpaka tar 18 mwezi huu
na siku hiyo ni kutoa maamuzi
yake juu ya ombi la mawakili wa washitakiwa. hivyo
ndivyo hali ilivyo katika kesi
hii. je mnasemaji ni kutaka
kutuchakachua au kutakuwa
na haki? (c)http://hakiforums.boardhost.com/

No comments:

Post a Comment

Tafadhali tumia lugha nzuri na yenye staha katika kutoa maoni yako,kwani lugha chafu hazitavumiliwa,hivyo basi kuwa mstaarabu.Mwenyezi Mungu na akuongoze.Aamin!