Saturday, October 22, 2011

KARIBUNI SANA KWENYE BLOG HII.

Kwanza nimshukuru Allah(s.w) kwa kuwezesha kuwepo kwa blog hii.Pia nimtakie rehma na amani mtume wetu Muhammad(s.a.w) na waja wema wote tangu Adam hadi kiama. Blog hii ni yetu sote hivyo tunakaribisha habari,makala mbalimbali na uchambuzi.Kama unamaoni, makala au habari tutumie e-mail www.sautmuslims21@gmail.com. Ndugu zanguni jukumu la kuelimisha umma ni letu sote hivyo tusaidiane kuuondoa umma katika maovu na kuupeleka katika wema. Karibuni sana kwenye blog hii wote. Uislam ni kitu kimoja!

2 comments:

  1. kimwaga mussa@salafi methodologyDecember 8, 2011 at 12:33 PM

    assalam alaykum tunawausia waislam na kujihusisha na kusherehekea miaka 50 ya uhuru ;m waka mpya wa kiislaam; christmass;pamoja na mwaka mpya wa kikafiri haya yote hayakusihi kwa mtume[swallAALLAHU alayhi wasallam]wala kwa salafi swaaleh bali ni mabidaa na kujifananisha na manaswara

    ReplyDelete
  2. kimwaga mussa@salafi methodologyDecember 8, 2011 at 12:49 PM

    yamtosha muislam sikukuu za id [alfitr ;adhha na ijumaa kama ilivyothibiti kwa mtume [swallALLAHU AALAYHI WASALLAM] kujiingiza katika sherehe nyingine kama kusherehekea miaka50 ya uhuru mwaka mpya[wa kiislam na wa kikafiri]christmass;pasaka nk ni katika kuzusha mambo ambayo hayamo katika uislam na kujfananisha na manasara.'Shaykhul islama ibn taymiyya[rahimahullah] anasema watu wa bidaa ni waovu zaidi kuliko watu wa maasia ya matamanio[zinaa]...'

    ReplyDelete

Tafadhali tumia lugha nzuri na yenye staha katika kutoa maoni yako,kwani lugha chafu hazitavumiliwa,hivyo basi kuwa mstaarabu.Mwenyezi Mungu na akuongoze.Aamin!