Amiri wa SAMUCO Ndg.Makame Ally akipanda mti katika kuhifadhi mazingira.
No comments:
Post a Comment
Tafadhali tumia lugha nzuri na yenye staha katika kutoa maoni yako,kwani lugha chafu hazitavumiliwa,hivyo basi kuwa mstaarabu.Mwenyezi Mungu na akuongoze.Aamin!
Uongozi wa SAMUCO inawatangazia Uchaguzi Mkuu wa jumuiya siku ya Jumapili tarehe 18/12/2011 utakaofanyika katika ukumbi wa M3 saa mbili asubuhi. Mnaombwa sana kuzingatia muda na pia kuhudhuria kwa wingi. Wabillah Tawfiq.
No comments:
Post a Comment
Tafadhali tumia lugha nzuri na yenye staha katika kutoa maoni yako,kwani lugha chafu hazitavumiliwa,hivyo basi kuwa mstaarabu.Mwenyezi Mungu na akuongoze.Aamin!