Monday, November 21, 2011

Mlezi wa SAMUCO akizungumza jambo na Rais wa TAMSYA katika mahafali iliyo fanyika chuo cha SAUT.

1 comment:

  1. kimwaga mussa@salafi methodologyDecember 10, 2011 at 12:59 PM

    a alaykum imethibit katika sahihi mbili[bukhari na muslim]katika hadithi ya umar ibn khatwab mtume [swalaLLAH alahi wasallam]anasema 'hakika kila kitendo huzingatiwa niyya na hakika si vyenginevyo katika kila kitendo[hulipwa kwa kuzingatia niyya]... ' hivyo basi tujitahid kuzitengeneza niyya zetu tunapotaka kufanya kitendo [ibada]na niyya pahala pake ni moyoni ima kuitamka ni bid a'a.

    ReplyDelete

Tafadhali tumia lugha nzuri na yenye staha katika kutoa maoni yako,kwani lugha chafu hazitavumiliwa,hivyo basi kuwa mstaarabu.Mwenyezi Mungu na akuongoze.Aamin!